umoja ni nguvu

Monday, July 11, 2005

Hodi katika uwanja wa Blog

Kwa sasa nimeingia upya katika ulimwengu huu wa Blog kwani ile ya kwanza ilikuwa inaniletea matatizo lakini sasa mambo yatakuwa swafi na tutaendelea kupashana habari na mambo mbalimbali kupitia njia hii ya mawasiliano.

Hii ni kazi yangu ya kwanza kwa hiyo msijali sana katika hili kwani najaribu kuiweka hai kabla siaanza kazi lasmi.